WANANCHI WAFURIKA BANDA LA PPF MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA

*Mkurugenzi wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akimkabidhi
Kitambulisho Clara Benard, mmoja kati ya wanachama wapya waliojiunga na
Mfuko wa PPF kupitia huduma ya Wote Scheme, katika Banda la PPF kwenye
Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Picha na Mafoto BlogMeneja
Uhusiano Lulu Mengele na Meneja Masoko Elihuruma Ngowi wa Mfuko wa Pensheni
wa PPF, wakiwahudumia baadhi ya wanachama waliojiunga na huduma ya Wote
Scheme, katika Banda la PPF.Mkurugenzi wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF, ... more »
No comments:
Post a Comment