NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA
* Mtaalam kutoka Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi
Marwa Petro (kushoto) akielezea majukumu ya Wizara mbele ya Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana
Pallangyo (wa pili kutoka kulia, mbele) mara Naibu Katibu Mkuu
alipotembelea banda la Wizara kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba
yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.*
* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo, (kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kuwasi... more »
No comments:
Post a Comment