Tuesday, 5 July 2016

TCRA yazipiga faini kampuni 6 kwa ukiukwaji wa masharti ya usajili wa namba/laini za simu za mkononi


*MAELEZO YA KAIMU MKURUGENZI MKUU, MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA, ENG. JAMES KILABA KUHUSU UAMUZI KUHUSU UKIUKWAJI WA MASHARTI YA USAJILI WA NAMBA/LAINI ZA SIMU ZA MKONONI* Ndugu Waandishi wa Habari, Tumewaita hapa leo ili kutoa uamuzi kuhusu mashauri ya ukiukwaji wa masharti ya usajili wa namba/laini za simu za mkononi uliofanywa na makampuni ya simu za mkononi. Makampuni hayo ni: 1. Airtel Tanzania Limited, 2. Benson Informatics Limited ambayo inatumia jina la biashara la SMART, 3. MIC Tanzania Limited ambayo inatumia jina la biashara la TIGO, 4. Viettel Tanzania Limited ambayo ... more »

No comments:

Post a Comment