Tuesday, 5 July 2016

PSPF YASAJILI WANACHAMA ZAIDI, BALOZI WA MFUKO HUO MRISHO MPOTO NAYE AINGIA KAZINI KUONGEZA NGUVU


* Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrishom Mpoto, (kushoto), akimuhudumia mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016 ambako kunafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Mfuko huo umezidi kujizolea wanachama wapya na hivyo kuongeza idadi ya wachangiaji. (PICHA NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said)* *Joseph Lyimo, (kushoto), Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akimkabidhi kadi ya uanachama mwanachama Gilbert Nsumba, kwenye banda ... more »

No comments:

Post a Comment