Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry leo Atangaza kuwa kesho Jumatano ni Sikukuu ya Eid el Fitri

Kwa kipindi cha mwezi sasa waislamu walikuwa katika mfungo wa Mwezi Mtukufu
wa Ramadhani wakitimiza ibada ya nguzo za uislamu ambayo ni Kufunga.
Baadhi ya waislamu kutoka mataifa mbali mbali wakiwepo wajerumani na Afrika
magharibi, leo wamesherekea sikukuu ya Eid el fitr baada ya kumaliza mfungo
wao.
Hata hivyo leo Mufti Mkuu wa tanzania Zubeir Bin Ally amewataka pia waislam
kujitokeza kesho katika misikiti mbalimbali kwa ajili ya ibada ya Eid el
Fitr.
Taarifa ambayo imetolewa leo ni uthibitisho wa sikukuu ya Eid el Fitr
ambapo Waislam wote walikua wakisubiri kuandama kwa m... more »
No comments:
Post a Comment