Moja ya kitengo chenye upinzani zaidi kama utazungumzia namba katika kikosi
cha Yanga ni full back ya kulia.
Huko kuna Juma Abdul ambaye ni ‘mwenyeji’ na Hassan Kessy ambaye ni ‘mgeni’
aliyetua akitokea Simba.
Picha hii inaonyesha wakiwa mazoezini wakipambana ile mbaya na Kessy
anaonekana kumsetia Juma ambaye anaachia mkwaju hasa kama ilivyo jawaida
yake.
No comments:
Post a Comment