wanafunzi wa mpechi secondari wakisikiliza semina elekezi juu ya
UMUHIMU WA TOHARA KIAFYA ambayo iliongozwa na wataalamu wa afya pamoja
na mwenyekiti wa mtaa wa mpechi ndg DEO MSEMWA ambapo walikuja na kauli mbiu isemayo TOHARI KWA AFYA YAKO
computer lab teacher.
Thursday, 22 September 2016
wanafunzi wakiwa katika chumba cha computer kujisomea mpechi secondary
wanafunzi wa mpechi secondary wakisikiliza semina kutoka kwa wana chuo
wa ECKROS TOURISM COLLEGE kuhusu mazingira katika viwanja wa vya mpechi
secondary.